*vLWkzTHEuGJGwU1oPw8QWrlhz1mbdsbaWdqH4Io50qW0IY4K62TS93j8/MicrosoftWordkanunizaufugajiborawami.pdfMazao yatokanayo na ufugaji wa kuku ni pamoja na mayai, nyama, mbolea na manyoya kwa matumizi mbalimbali. Mifumo yaufugaji kuku ambayo hutumika hapa nchini ni huria, ...
Watu hutumia nyama yake na mayai kama chakula. Mwanzoni kuku walifungwa kwa ajili ya mchezo wa mapigano ya kuku na kwenye sherehe maalumu. [2]Katika nchi za baridi malaika yao, ambayo ni manyoya madogo ya chini, yanatumiwa kwa kujaza mashuka au makoti. Samadi ya kuku ni mbolea nzuri lakini inapaswa kukaa kwa muda kabla ya kutumiwa.
ufugaji wa kuku wa nyama pdf download
Idadi ya kuku duniani inakadiriwa kuwa zaidi ya bilioni 10 (mpaka kufikia bilioni 24 mwaka 2003) na wengi wanafugwa kwa wingi wakiotamiwa na kuishi zizini. Kwa njia ya ufugaji aina nyingi za kuku zimeendelezwa kwa kuchagua wale wenye tabia maalumu na kuzaliana. Wanaofugwa siku hizi ni aina zinazotoa hasa nyama na aina nyingine zinatoa hasa mayai.
Katika mazingira asilia kuku huishi miaka 5-11 lakini wale wanaofugwa kwa wingi wanachinjwa baada ya wiki 6-8 kama ni kuku wa nyama na baada ya mwaka mmoja kama ni kuku wa mayai. Kati ya aina zinazofugwa kwa mayai karibu madume wote, yaani nusu ya vifaranga, wanauawa mara moja kwa sababu hawatagi mayai na aina hii haileti nyama ya kutosha.
Kuku huweza kuishi kwa miaka mitano mpaka kumi na moja kadiri ya spishi husika. Kuku wa biashara hukua kwa wiki sita tu kabla ya kuchinjwa. Kuku wanaokula kwa kutangatanga huweza kuchinjwa kuanzia wiki ya 14 na kuendelea. Kuku maalumu wa mayai huweza hata kutaga mayai 300 kwa mwaka kila mmoja. Baada ya mwaka mmoja uwezo wa kuku kutaga hupungua na kuku hao huchinjwa kwa ajili ya nyama. Kuku aliyevunja rekodi ya dunia, ni yule aliyeishi kwa zaidi ya miaka 16.
Kuku ni mnyama mwenye faida kubwa sana kwa mwanadamu na viumbe vinginevyo: kuku hutaga mayai ambayo hutumika kama chakula kwa wanadamu na viumbe vingine. Watu wengine hukosa faida za wanyama hao kwa sababu hawajui njia sahihi za ufugaji wa kuku.
Siku hizi watu hukuza kuku kwa kutumia kemikali za viwandani, ambazo huleta madhara kwa kuku, hivyo kufanya ukuaji wao kuwa mbovu, mayai yao kuwa mabaya, hata ladha huwa mbaya. Afadhali tuachane na njia hizo, tufuate njia za kawaida za ufugaji wa kuku tutapata faida nzuri sana na manufaa makubwa kiafya. 2ff7e9595c
댓글